Kibajaji01
Member
- Sep 22, 2023
- 15
- 39
Nasubiri ushauri wako mkuuUtumwa
Mfano ni tofauti na swaliStupid ili nalo ni swali?...ni sawa uko na demu geto na umeshamvua chupi halafu unapigia simu masela unauliza uingize wapi?..kiande we!!
Nenda ambako pesa unaipata kwa uhakika,
Pesa hata kama ni laki ikiwa unaipata kwa wakati angalau you can survive
Sehemu wanayolipa kwa uhakika ndio pa kwenda
Watu tuli survive kwa malipo ya 70 ila tu iwe uhakika siku fulani inaingia una clear vimeo kwa ukamilifu
Kuhusu muda wa kulipa wote ni tarehe 30 ya mweziKaka nenda sehemu ambayo wanalipa kwa uhakaika na kwa wakat kama hapo y wanalipa kwa uhakaika n vzur zaid
Bas nenda kwa 250k lakn wakupe maktaba kwan hizo siku 2 za zinazobak unaweza kufanya mambo ya msingi kama tuishen na uwekezaj mwingineKuhusu muda wa kulipa wote ni tarehe 30 ya mwezi
Basi kama ni uhakika chukua250 unapata na muda wa kuwaza mengine nje kufundishaKuhusu muda wa kulipa wote ni tarehe 30 ya mwezi
Watanzania hatujui thamani ya maisha. Fanya hivi, piga hesabu masaa unayokua kazini kwa siku unazokua kazini kwa mwezi mzima, igawe pesa unayopata kwa namba ya masaa unayofanya kazi. Ukipata jibu utaona hiyo 50k haina thamani yakukushurutisha kwa hayo masaa yanayoongezeka zaidi ya marWakuu naombeni msaada wenu wa kimawazo kwenye hili.
Mimi ni mwalimu wa physics na chemistry ila sijabahatika kupata ajira serikalini, sasa kuna shule mbili nafundisha let say shule X na shule Y. Shule X nalipwa laki tatu, wakati shule Y nalipwa 250,000/=
Shida inapokuja shule Y wanao nilipa 250 wao hawana shida walinambia sababu ya hela wanayonipa ni ndogo basi niwe naenda muda wa vipindi tu kufundisha na kuondoka, ila hawa shule X wanaonipa 300 wao hawataki nifundishe shule nyingine tofauti na wao, yaani niwepo kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi, Jumatatu hadi Ijumaa tunatoka saa 11 isipokua Jumamosi tu ndio tunatoka saa nane mchana.
Sasa wiki hii shule X wameniita na kuniambia nichague shule moja nitakayo fanya kazi. Naombeni ushauri wakuu, nibaki na hii ya 250 niwe naenda muda wa vipindi tu ambapo ni siku tatu kwa wiki au niendelee na shule X ya 300?
Bas nenda kwa 250k lakn wakupe maktaba kwan hizo siku 2 za zinazobak unaweza kufanya mambo ya msingi kama tuishen na uwekezaj mwingine
Pamoja sana wakuuBasi kama ni uhakika chukua250 unapata na muda wa kuwaza mengine nje kufundisha
Anything for money. Japo .maisha siyo kutesa kila siku..........