Wanajanvi hasa hili la sheria naomba msaada wenu muhimu.
Babu yangu anamiliki ardhi na shamba la miti hapo hapo.Kuna taasisi ambayo inataka kujenga chuo hapo kijijini na tayari imenunua viwanja na mashamba ya watu lakini babu yangu amekataa kuuza kwani anasema pesa ni kidogo anayolipwa.
Sasa kinachotokea ni kwamba ambao hawajakubali kuuza watanyanganywa na serikali itapatifisha.Je serikali au watu wanaweza kumlazimisha mtu kuuza mali yake bila kukubaliana na sheria inasemaje kuhusu hilo?
Duh kumbe Tanzania hakuna property rights mh nilikua siwajui vizuri sasa huyo babu anawezadhulumiwa na serikali you have to change the constitution baana.
Mkuu umenipa mwanga lakini naomba nikulize swali inamaana nchi kama Uganda,Kenya and S.Africa wenye property right and private property ambayo inatenganisha collective ownership hawezi pata maendeleo. Je kama hiyo sheria inaongelea public land ownership au private and communal land ownershi?
It seems Tz you are still under Ujamaa village land ordinance even though I read some article written by Shivji on land law reforms but I think this didnt matter.
Je ikitokea kuwa huyu mtu ameweka rehani ardhi hiyo Benki so as to secure a loan serikali italipa hiyo loan pamoja na kumpa fidia huyo mtu?