Kufaulu si shule bali ni juhudi za mwanafunzi.
Ni kweli ila kama mazingira yatam support. Shule iko porini(huwezi kupata company ya wanafunzi jirani mbadilishane material wala walimu wa masomo ya ziada),haina maktaba wala vitabu vya kiada na ziada vya kutosha,haina walimu wa kutosha: hapo juhudi za mwanafunzi zitamvusha?
huko anaenda kupoteana..awaulize walioianzisha Rungwe sec. kilichowakuta.Nina mwanangu kachaguliwa sec.ya Lwangwa pcm baada ya mahangaiko nimefanikiwa kujuwa shule ipo rungwe mbeya ni km kadhaa ktoka mj wa tukuyu ila hawa ndiyo wanaenda kuanza yaani shule ilikuwa na o-lev pekee mwaka huu ndiyo wanaenda kufungua kimsing kijana alikuwa na uwezo wa wastan kwani alkuwa na div.1 P17 Sasa bac kwa uzoefu wenu wana jf shule inayoanza inaweza kumpeleka kijana mbele au ndy bac kapoteza malengo yake ? nifanyeje kumsaidia? nasubili michango yenu. Nawasilisha