nilichaguliwa course ya bsc in biology, nipo mwaka wa pili lakini nimefanya maamuzi yangu nimeona bola niache chuo alafu ni apply tena course nyngne ninayoipenda for academic year 2014-2015 nilikuwa naomba msaada wa nini cha kufanya ili niweze kuacha na nijiandae kwa ajili ya application ya mwaka huu