mtu wa zamani Member Joined Sep 15, 2011 Posts 17 Reaction score 11 Jun 29, 2013 #1 Nahitaji kufahamu mahali napoweza kusoma short coarse inayohusiana na taaluma ya E-PROCUREMENT kwa hapa Tanzania itapendeza pia nikifahamishwa vyuo vinavyofundisha taaluma hii nje ya nchi kwa njia ya mtandao.
Nahitaji kufahamu mahali napoweza kusoma short coarse inayohusiana na taaluma ya E-PROCUREMENT kwa hapa Tanzania itapendeza pia nikifahamishwa vyuo vinavyofundisha taaluma hii nje ya nchi kwa njia ya mtandao.