B Basuzwa Member Joined Mar 13, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Jul 16, 2013 #1 Hivi mtu aliyerisiti mtihani wa kidato cha nne na akafaulu kwa kupata division 3 anaweza kupangiwa shule ya A-level ya serikali?
Hivi mtu aliyerisiti mtihani wa kidato cha nne na akafaulu kwa kupata division 3 anaweza kupangiwa shule ya A-level ya serikali?
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Jul 16, 2013 #2 Ninavyofahamu ni kwamba ukishaitwa PRIVATE CANDITATES hapo umeagana na shule za serikal,means hapo ni full private mwanzo mwisho hata ungekuwa na dvs 1 ya 7.
Ninavyofahamu ni kwamba ukishaitwa PRIVATE CANDITATES hapo umeagana na shule za serikal,means hapo ni full private mwanzo mwisho hata ungekuwa na dvs 1 ya 7.
S Seafarer New Member Joined Jul 17, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jul 17, 2013 #3 Inategemea km ume meet requirements za kukuwezesha kuchaguliwa shule ya serikali
B Basuzwa Member Joined Mar 13, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Jul 18, 2013 Thread starter #4 Ahsanteni wakubwa