Mhk, labda kama chuo ni chenu but sidhani kama atapata sehemu yoyote bila kuresit ili apate credits tatu. Kuna jamaa kazema hata upolisi hawezi. Nadhani aende tu na cheti cha la saba kama bado vinatolewa. Mpe pole mkuu!!!!!
C ya bios ni nzuri na dogo watamchukua2 koz hyo ni sayansi, vyuo vya nursing ni chuo cha Nkinga-Tabora nzega, chuo cha Mvumi-Tabora, manyoni-singida so hvyo ni baadhi ya vyuo so wahi kufatilia koz huwa kuna intrvw aprl.