Msaada wenu wana jf

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
465
Reaction score
96
Wakuu salaam.

Nina wazo la kuanzisha kampuni ya tours hapa dar, lakini sijui utaratibu mzima wa jinsi ya kuanzisha kampuni ya aina hiyo.
Wala sina mtu wa karibu mwenye uzoefu wa kutosha katika sekta hiyo.

Ombi langu: Ninaomba kufahamisha utaratibu wa jinsi ya kusaji, uendeshaji, masoka na mambo mengineyo yahusuyo biasharra hiyo.

Asanteni.
 
Hongera sana kwa wazo zuri, tuma email kwa upendo_2007@yahoo.com kwa msaada zaidi juu ya kufungua kampuni ya tours. Thanx:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…