Msaada wenu wana JF

Msaada wenu wana JF

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
780
Reaction score
1,579
Habari zenu wana JF,

Samahani nilikua nauliza kuhusu uno premier tips na sportpesa vip betting tips wanauza mikeka vp inakuaga ya uhakika au ni matapeli maana hua wanasema ushindi ni 100%
 
Hakuna tips ya 100% utapigwa tu walau ununue strategy tu hua inaongeza sana possibility ya ushindi na unanunua mara moja alaf unakua unafanya mwenyewe
 
Hakuna tips ya 100% utapigwa tu walau ununue strategy tu hua inaongeza sana possibility ya ushindi na unanunua mara moja alaf unakua unafanya mwenyewe
Hasa kuna mmoja anajiita MADAM AZIZAH kwenye telegram hua anapost mikeka yake ya ushindi kila siku
 
Back
Top Bottom