contask JF-Expert Member Joined Jan 3, 2021 Posts 780 Reaction score 1,579 Nov 13, 2022 #1 Habari zenu wana JF, Samahani nilikua nauliza kuhusu uno premier tips na sportpesa vip betting tips wanauza mikeka vp inakuaga ya uhakika au ni matapeli maana hua wanasema ushindi ni 100%
Habari zenu wana JF, Samahani nilikua nauliza kuhusu uno premier tips na sportpesa vip betting tips wanauza mikeka vp inakuaga ya uhakika au ni matapeli maana hua wanasema ushindi ni 100%
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Nov 13, 2022 #2 Hakuna tips ya 100% utapigwa tu walau ununue strategy tu hua inaongeza sana possibility ya ushindi na unanunua mara moja alaf unakua unafanya mwenyewe
Hakuna tips ya 100% utapigwa tu walau ununue strategy tu hua inaongeza sana possibility ya ushindi na unanunua mara moja alaf unakua unafanya mwenyewe
contask JF-Expert Member Joined Jan 3, 2021 Posts 780 Reaction score 1,579 Nov 13, 2022 Thread starter #3 Central systemer said: Hakuna tips ya 100% utapigwa tu walau ununue strategy tu hua inaongeza sana possibility ya ushindi na unanunua mara moja alaf unakua unafanya mwenyewe Click to expand... Hasa kuna mmoja anajiita MADAM AZIZAH kwenye telegram hua anapost mikeka yake ya ushindi kila siku
Central systemer said: Hakuna tips ya 100% utapigwa tu walau ununue strategy tu hua inaongeza sana possibility ya ushindi na unanunua mara moja alaf unakua unafanya mwenyewe Click to expand... Hasa kuna mmoja anajiita MADAM AZIZAH kwenye telegram hua anapost mikeka yake ya ushindi kila siku
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Nov 13, 2022 #4 utapigwa uishe.