Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Could you make us understand your thread? I mean that you ought to address us accordingly.Kesi Ilienda Exparte Against Respondent Huko Subornate Court, Sasa Applicant akapigwa Kule District Court Na Ameappeal HC, Na Respondent Amekuwa saved na Hyo Appeal, Je Respondent anaweza aka-appear kwenye Audience in order to defend au Atafanyaje?
Mkuu Kesi Ilikuwa D'court Ambapo Respondent Alikuwa saved lakini Hakufanya Appearance, so Mahakama Ikaaamua Isikilize Upande Mmoja, Kwa maana ya Applicant Baada ya Kusikilizwa Mahakama Haikuona Uzito Wa Ushahidi Wake So Mahakama Ika dismissed Zile Reliefs Alizoziomba, sasa Applicant ame-appeal HC, Na Respondent amekuwa saved tena, Je Appearance Yeye Ni Ipi?Una maanisha kule DC case ilikuwa kati ya Applicant na Respondent, lakini ikaamuliwa Ex-parte na Applicant akapigwa chini na sasa ndio ana appeal au?
Au Exparte iliamuliwa dhidi ya nani?
Mambo ya kisheria unatakiwa unyooshe maelezo sana mkuu.
Challenges Kama Zipi Mkuu?Could you make us understand your thread? I mean that you ought to address us accordingly.
Are you a learned brother? If yes, you have a long way to go.
Kupigwa nini?
Anyway, I wish to reply to your thread as follows;
Respondent will be allowed to appear in person however they always face some challenges when it comes to the issue of law.
The best way is to advise them to pray to the Court to hear the matter by way of written submission.
For instance,Issue of Law. Is it possible for the layman to stand before the Court of law and argue the matter concerning pure points of Law? That's what I meant.Challenges Kama Zipi Mkuu?
You can never appeal against an exparte judgement, uyo nae ni mjinga tu, alitakiwa afanye application ya ku set aside, uyo applicant aende kuweka pingamizi tu kesi iishe siku ya kwanza ya kusikilizwa.