NOSWEAT
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 332
- 324
Nina gari Toyota premio new model huwa linamisi Sana nikiliwasha mda wa asubuhi mpaka linazima kabisa na mda mwingine hata likikaa mda mrefu kuanzia asubuhi mpaka jioni nimezunguka kwa mafundi lakini wapi nimebadilisha fuel pump pamoja na plug tatizo bado to naombeni ushauri mwenye kujua asante