andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 23
Mi dogo kamaliza EGM,E-B,G-C,M-E (ni three ya 13) na nyumbani mambo sio mazuri na yeye anataka masomo ya accounts na kote naona ni non priority,msaada wenu wakubwa achague faculty gani ili aweze kusoma (yupo kambini Tabora),thanks.