msaada wenye maelezo muhimu kuhusu st Joseph

dito64

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
34
Reaction score
3
Habar zenu wanajamvi.nmebahatika kuchaguliwa st Joseph-songea,nilikuwa naomben mwenye kujua kuhusu maelezo muhimu kuhusu mambo ya joining..
 
Joining zilitumwa kwenye za applicants tangu 30 aug
 
Utitiri wa vyuo vikuu ni tabu sana

nyindio msiopenda na wengine wasome, kamaulisoma 70s this is 2010s hatamtoto wa mkulima anaenda varsity, kujiona mungu watu eti kwakuwa umesoma elimu ya juu, sio sasa, TZ kama naigeria.
 
Joining zilitumwa kwenye za applicants tangu 30 aug

Mm nlifanya transfer ya kwenda st Joseph
na nikafanikiw kupata..cjatumiwa chochote hadi now,km unayo nijulishe nikupe email yang unitumie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…