Habarini za wakati huu
jamani Nina brother kamaliza secondary Moshi technical school mwaka 1996 na alipata dvsn three form IV akakosa mtu wa kumuendeleza kidato cha tano so akakata tamaa kabisa ya kusoma na akatokomea porini kuanzisha maisha yake
mi nataka Ni muendeleze hasa na Kozi hasa ya ualimu maana yeye ananiambia anaipenda kazi hiyo Sana na yuko tayari kusoma.
SWALI je naweza kupata chuo ambacho kitamchukua? kulingana na muda aliokaa nyumbani
sina idea na vyuo vya ualimu mi nipo AFYA hivyo naombeni mawazo yenu yenyekujenga na sikubomoa.
ahsanteni Sana
nawakilisha.