Habarini za wakati huu
jamani Nina brother kamaliza secondary Moshi technical school mwaka 1996 na alipata dvsn three form IV akakosa mtu wa kumuendeleza kidato cha tano so akakata tamaa kabisa ya kusoma na akatokomea porini kuanzisha maisha yake
mi nataka Ni muendeleze hasa na Kozi hasa ya ualimu maana yeye ananiambia anaipenda kazi hiyo Sana na yuko tayari kusoma.
SWALI je naweza kupata chuo ambacho kitamchukua? kulingana na muda aliokaa nyumbani
sina idea na vyuo vya ualimu mi nipo AFYA hivyo naombeni mawazo yenu yenyekujenga na sikubomoa.
ahsanteni Sana
nawakilisha.
Nashauri Uende Makao Makuu Halmashauri ya Wilaya/Manispaa unapoishi idara ya Elimu utapata Msaada na Maelekezo zaidi.
Suala la Kusoma Halina Limitation ya Mwaka uliomaliza Shule.kikubwa Uwe Una Qualify Academically full stop.
atapata bana. Mi kuna dada yangu kamaliza 1990 na kapata chuo cha serkali
Kwa private inawezekana tena sna tu yuko mkoa gan nkuonyeshe chuo faster jombaaa
Samahani DAVIES.!!
Huko alipokimbilia (porini) kutafuta life, mambo hayajaeleweka bado..??
Kwasababu hata akiendelea kusoma, ataanza na cheti, ambapo salary ni ya kikudah.
Tena yawezekana huko porini pana unafuu, kuliko hata huo ualimu unaodhania.
academically yuko vizuri ana division 3
Kama academically yupo vizuri fata ushauri tuliokupa, kabla ya kutafuta chuo cha Private anzia kwanza Ku-fight kwa Vyuo vya Serikali,otherwise upo Poa financially such away kua uta Afford gharama zote ukimpeleka vyuo vya Private.
academically yuko vizuri ana division 3
ushaur mzur nenda wizara ya elimu.