Msaada wenye ufahamu wa kuanzisha NGO

mamabaraka

Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
92
Reaction score
14
naomba msaada wa kimawazo namna ya kusajiri NGO yangu mwenyewe, pia kwa anayefaham naomba anisaidia kunifahamisha registration inafanyika wapi?
 
andika email yako mamabaraka halafu nitakuelekeza nini cha kufanya.
 
andika email yako mamabaraka halafu nitakuelekeza nini cha kufanya.

mkuu wengi tuna shida ya kufahamu hizo steps ama procedure ili kuwa na NGO i also sent you my e-mail katika inbox yako,tusaidie tafadhali
 
Huwa naziona ngo kama wizi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…