Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa
naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?
MziziMkavu pitia hapa kidogoMwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa
naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa
naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?
Pima pressure kwanza
We unadhani punyetto haichoshi?. Kalagabaho
naomba kujua jinsia ili niweze kutoa ushauri