Msaada. What exactly is" NYONGA"

Msaada. What exactly is" NYONGA"

furahi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
945
Reaction score
196
Naomba msaada wadau. nini maana ya nyonga? Kama nitapata hata structure demonstration nitashukuru, coz wanasema mwanamke NYONGA, makalio hata kwa mchina yapo.
Seems like something apart from makalio n kiuno. Coz pia wanasema ili kujifungua salama, structure ya nyonga matters. Plz help.
 
nyonga[SUP]1[/SUP] nm [i-/zi-] hip source:TUKI\SWA-ENG, Machi, 2001. kwahiyo ni hips mkuu. na hips zinatoa picha ya mifupa ilivyoumbika katika pelvic region hata mtoto apite kwa ufasaha. japo hata mie neno Nyonga halijawahi kutokua msamiati kwangu. May be tusubiri wajuzi zaidi
 
Naomba msaada wadau. nini maana ya nyonga? Kama nitapata hata structure demonstration nitashukuru, coz wanasema mwanamke NYONGA, makalio hata kwa mchina yapo.
Seems like something apart from makalio n kiuno. Coz pia wanasema ili kujifungua salama, structure ya nyonga matters. Plz help.

Nyonga ni pelvis.

pelvic%2520girdleb.jpg
 
Kwa maana hiyo hata mwanaume ana nyonga??

Ukiongelea nyonga ya mwanaume unaweza kuonekana mliberali...

Ni wazi hata mwanaume ana nyongo kama ambavyo ana makalio, mikono, au mashavu.

Ni ujinga tu ndo hufanya akili za watu wengine ziende huko kwenye hayo mambo ya kishoga lakini anatomically mwanaume nyonga anayo.
 
Nyonga ni pelvis.

pelvic%2520girdleb.jpg
Thanx kwa majibu mazuri.So kwenye above structure ni mfupa au joint gani inatakiwa kuachia wakati wa kujifungua mwanamke?
Na pia externally unajuaje kama mwanamke ana nyonga nzuri kwa kumtizama?
 
Back
Top Bottom