Naomba msaada wadau. nini maana ya nyonga? Kama nitapata hata structure demonstration nitashukuru, coz wanasema mwanamke NYONGA, makalio hata kwa mchina yapo.
Seems like something apart from makalio n kiuno. Coz pia wanasema ili kujifungua salama, structure ya nyonga matters. Plz help.
Nyonga ni pelvis.
Kwa maana hiyo hata mwanaume ana nyonga??
Ukiongelea nyonga ya mwanaume unaweza kuonekana mliberali...
Thanx kwa majibu mazuri.So kwenye above structure ni mfupa au joint gani inatakiwa kuachia wakati wa kujifungua mwanamke?Nyonga ni pelvis.