Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,673
- 1,875
Wadau wa Jamiiforums Habari za wakati huu.
Na leta kero yangu kwenu kuhusu WhatsApp yangu kusumbua mara kwa mara. Usumbufu unatokana kuwa log out kwa madai ya account yangu kuhusishwa na spam.
Tatizo lilianza siku moja namba yangu ili unganishwa na ma group kama tano ambayo haya kuwa ya kawaida na ya nchi zingine tofauti na Tanzania. Nilijitoa kwenye hayo ma group lakini toka siku hiyo account yangu inakuwa logged out hadi hapo niombe review ndiyo inarejeshwa.
Na tumia official WhatsApp wala siyo unofficial. Je tatizo hili laweza kuhusishwa na aina ya simu unayo tumia?
Na Je unawezaje kuondokana na tatizo hili.
Nawasilisha.