SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
Habari wana JF, wife anawashwa sana sehemu zake za siri na ameenda hospital zaidi ya mara mbili lakini sioni mabadiliko hospital wamempima damu na mekuwawakimbadilishia dawa bila mafanikio.
Naomba msaada kwa wanaojua hasa akina dada mliowahi kupatwa na hiki kitu
Naomba msaada kwa wanaojua hasa akina dada mliowahi kupatwa na hiki kitu