UmemalizaEither ni uti sugu, vagina candidiasis au magonjwa mengine yanayoambatana na hivo
Akacheki mkojo
Halaf awe safi na mkavu huko ahakikishe anavaa nguo za ndani zisizo bana, anywe maji mengi na usikutane kimwili had atakapomaliza dozi yake, aanike nguo za ndani juani ikibidi hata hizo nguo aachane nazo atafte mpya za cotton
Alafu huyu jamaa amerudi kivingine aiseeMuone dokta mwaka
Njoo PM mkuuHabari wana JF, wife anawashwa sana sehemu zake za siri na ameenda hospital zaidi ya mara mbili lakini sioni mabadiliko hospital wamempima damu na mekuwawakimbadilishia dawa bila mafanikio.
Naomba msaada kwa wanaojua hasa akina dada mliowahi kupatwa na hiki kitu
Anayo maradhi ya Fungus suugu au maradhi mengine ya zinaa aende kupima na uje unitafute nipate kumtibi ili aweze kupona.Habari wana JF, wife anawashwa sana sehemu zake za siri na ameenda hospital zaidi ya mara mbili lakini sioni mabadiliko hospital wamempima damu na mekuwawakimbadilishia dawa bila mafanikio.
Naomba msaada kwa wanaojua hasa akina dada mliowahi kupatwa na hiki kitu