Msaada: Wilaya ya Mkalama-Singida ikoje? Nafikaje kutokea Dodoma

MLIMAWANYOKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
631
Reaction score
2,247
Habari wakuu,

Nimepata safari ya kiutafiti Maeneo ya wilaya ya Mkalama, sina idea yoyote kuhusu eneo hilo, sina mwenyeji kule na sijawahi fika kabisa.

Naomba kujuzwa yafuatayo;
1. Nasafiri kwa magari gani nikitokea Dodoma.

2. Kuna nyumba za kulala wageni? avarage price?
3. Maeneo standard ya kujiliwaza wakati wa jioni; bar, etc.

4. Nature ya wenyeji wa kule.

Natanguliza Shukrani.
 
Ukitokea Dodoma panda gari linaloelekea Singida,Ukibahatika kufika mapema Singida chukua usafiri wa kuelekea Wilaya ya Iramba_Kiomboi huko utajulishwa jinsi ya kufika Mkalama.Ahsante
 
Kama una pafahamu mkalama, pamechanganya?! naweza pata sehemu nzuri ya misosi? . maana ntakaa kama siku 21
 
Habari wakuu,

Nimepata safari ya kiutafiti Maeneo ya wilaya ya Mkalama, sina idea yoyote kuhusu eneo hilo, sina mwenyeji kule na sijawahi fika kabisa.

Naomba kujuzwa yafuatayo;
1. Nasafiri kwa magari gani nikitokea Dodoma.

2. Kuna nyumba za kulala wageni? avarage price?
3. Maeneo standard ya kujiliwaza wakati wa jioni; bar, etc.

4. Nature ya wenyeji wa kule.

Natanguliza Shukrani.
Ukifika Singida stand mapema saa nne mpaka sita Kuna gari za kwenda mkalama mpaka ibaga, na kwenda meatu, Simiyu etc. zipo ester tata, na gari nyingine, Jesus etc. mkalama zipo lodge nzuri za bei ya Tshs 20,000. 00 hakuna sehemu ya kujiliwaza usiku bado kijijini wamelazimisha kuwa Wilaya. Wanawake wa kinyoramba wapo mji mdogo wake wote wazuri Wana watu tayari, hivyo unaweza kupigwa mkuki wa mbavu ukivinjali na mke au demu wa mtu. Wenyeji wa uko wakalimu hawana shida hila vijana ni wavivu sana kufanya kazi. Ndoa nyingi za uko wanawake ndo steering wa mji wanaume hawana sauti kabisa 💯. Wanawake Wana matusi sana kwa waume zao. Ukioa uko umepotea kabisa. Bar zilizopo ni za kawaida kama kijijini hakuna shamlashamla. Ikifika jioni unajifungia kwako. Ni km 65 toka mjini ,ukifika iguguno ni km 42
 
asante saana mkuu..
Nilikuwa na wasiwasi na kupata lodge.. maana kila niki google sipati taarifa, zaidi zaidi naona sijui Jesca Kishoa kagawa gesi..

ila nmecheka sana eti wanawake wana matusi 😂 😂😂..

ps: So nijiandae siku 21 bila nyapu.
 
Singida yenyewe tu imepoa, sasa imagine kilometa 106 kutoka Singida kuingia hapo.

Screenshot_20240920-001733.png
 
Ukitokea Dodoma panda gari linaloelekea Singida,Ukibahatika kufika mapema Singida chukua usafiri wa kuelekea Wilaya ya Iramba_Kiomboi huko utajulishwa jinsi ya kufika Mkalama.Ahsante
Iramba kiomboi umepotea mbali sana, hiyo ni Wilaya nyingine, Kuna Wilaya ya iramba makao makuu yako kiomboi na Kuna Wilaya mkalama makao makuu yako nduguti. Originally mkalama ni Kijiji Kiko mbele ya Gumanga karibu na sehemu ambayo wajerumani walikuwa wananyongea watu. Hivyo ukifika Singida ulizia magari ya kwenda Nduguti Wilaya ya mkalama na siyo kiomboi.
 
asante saana mkuu..
Nilikuwa na wasiwasi na kupata lodge.. maana kila niki google sipati taarifa, zaidi zaidi naona sijui Jesca Kishoa kagawa gesi..

ila nmecheka sana eti wanawake wana matusi 😂 😂😂..

ps: So nijiandae siku 21 bila nyapu.
Weekend unaenda mjini Singida hapo ni chaguo lako, Wanyaturu wenye miguu myembamba lakini juu wamejazia sana, au wanyiramba ambao wamejazia chini mpaka juu. Lakini uko Nduguti mkalama wengi wake za watu au mademu za watu ni Kijiji kile mgeni utajulikana tu. Labda upate bar made.
 
Singida yenyewe tu imepoa, sasa imagine kilometa 106 kutoka Singida kuingia hapo.

View attachment 3100732
Siyo km 106 ni km ( 25 toka mjini mpaka iguguno 42 km toka iguguno mpaka Nduguti - mkalama ) jumla km 67 toka mjini mpaka Nduguti mkalama. Hiyo google map imeenda mbali umevuka mbele zaidi, ukitoka. Nduguti mkalama unaenda Gumanga, Ibaga, chemchemu, sibiti mpakani unaingia Wilaya ya meatu Shinyanga.
 
mkuu . upo vizuri..
nimeona taarifa nyingi za ku google kuhusu wilaya hii siyo valid.
nadhan kwa sababu ya upya wake..
 
Weekend unaenda mjini Singida hapo ni chaguo lako, Wanyaturu wenye miguu myembamba lakini juu wamejazia sana, au wanyiramba ambao wamejazia chini mpaka juu. Lakini uko Nduguti mkalama wengi wake za watu au mademu za watu ni Kijiji kile mgeni utajulikana tu. Labda upate bar made.
nmekuelewa.. hapo ni kukaa mbali na nyapu za kule.. kuepuka mishare ya mbavu..
ingawa pia naweza pata muongozo kutoka kwa muhudumu wa lodge.. kwa kawaida huwa wanajua connection ya nyapu za kitaa
 
Ukifika Iguguno Kuna Barabara Yao Inaingia Upande Wa Kulia
Pa Kawaida Tu Njia Ni Vumbi Ila Nenda Usitegemee Hali Ya Dodoma
Kule Wanapakana Na Hanang
 
Back
Top Bottom