MLIMAWANYOKA
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 631
- 2,247
Ukitokea Dodoma panda gari linaloelekea Singida,Ukibahatika kufika mapema Singida chukua usafiri wa kuelekea Wilaya ya Iramba_Kiomboi huko utajulishwa jinsi ya kufika Mkalama.AhsanteHabari wakuu,
Nimepata safari ya kiutafiti Maeneo ya wilaya ya Mkalama, sina idea yoyote kuhusu eneo hilo, sina mwenyeji kule na sijawahi fika kabisa.
Naomba kujuzwa yafuatayo;
1. Nasafiri kwa magari gani nikitokea Dodoma.
2. Kuna nyumba za kulala wageni? avarage price?
3. Maeneo standard ya kujiliwaza wakati wa jioni; bar, etc.
4. Nature ya wenyeji wa kule.
Natanguliza Shukrani.
Asante sana mkuuUkitokea Dodoma panda gari linaloelekea Singida,Ukibahatika kufika mapema Singida chukua usafiri wa kuelekea Wilaya ya Iramba_Kiomboi huko utajulishwa jinsi ya kufika Mkalama.Ahsante
Kama una pafahamu mkalama, pamechanganya?! naweza pata sehemu nzuri ya misosi? . maana ntakaa kama siku 21Ukitokea Dodoma panda gari linaloelekea Singida,Ukibahatika kufika mapema Singida chukua usafiri wa kuelekea Wilaya ya Iramba_Kiomboi huko utajulishwa jinsi ya kufika Mkalama.Ahsante
Ukifika Singida stand mapema saa nne mpaka sita Kuna gari za kwenda mkalama mpaka ibaga, na kwenda meatu, Simiyu etc. zipo ester tata, na gari nyingine, Jesus etc. mkalama zipo lodge nzuri za bei ya Tshs 20,000. 00 hakuna sehemu ya kujiliwaza usiku bado kijijini wamelazimisha kuwa Wilaya. Wanawake wa kinyoramba wapo mji mdogo wake wote wazuri Wana watu tayari, hivyo unaweza kupigwa mkuki wa mbavu ukivinjali na mke au demu wa mtu. Wenyeji wa uko wakalimu hawana shida hila vijana ni wavivu sana kufanya kazi. Ndoa nyingi za uko wanawake ndo steering wa mji wanaume hawana sauti kabisa π―. Wanawake Wana matusi sana kwa waume zao. Ukioa uko umepotea kabisa. Bar zilizopo ni za kawaida kama kijijini hakuna shamlashamla. Ikifika jioni unajifungia kwako. Ni km 65 toka mjini ,ukifika iguguno ni km 42Habari wakuu,
Nimepata safari ya kiutafiti Maeneo ya wilaya ya Mkalama, sina idea yoyote kuhusu eneo hilo, sina mwenyeji kule na sijawahi fika kabisa.
Naomba kujuzwa yafuatayo;
1. Nasafiri kwa magari gani nikitokea Dodoma.
2. Kuna nyumba za kulala wageni? avarage price?
3. Maeneo standard ya kujiliwaza wakati wa jioni; bar, etc.
4. Nature ya wenyeji wa kule.
Natanguliza Shukrani.
asante saana mkuu..Ukifika Singida stand mapema saa nne mpaka sita Kuna gari za kwenda mkalama mpaka ibaga, na kwenda meatu, Simiyu etc. zipo ester tata, na gari nyingine, Jesus etc. mkalama zipo lodge nzuri za bei ya Tshs 20,000. 00 hakuna sehemu ya kujiliwaza usiku bado kijijini wamelazimisha kuwa Wilaya. Wanawake wa kinyoramba wapo mji mdogo wake wote wazuri Wana watu tayari, hivyo unaweza kupigwa mkuki wa mbavu ukivinjali na mke au demu wa mtu. Wenyeji wa uko wakalimu hawana shida hila vijana ni wavivu sana kufanya kazi. Ndoa nyingi za uko wanawake ndo steering wa mji wanaume hawana sauti kabisa π―. Wanawake Wana matusi sana kwa waume zao. Ukioa uko umepotea kabisa. Bar zilizopo ni za kawaida kama kijijini hakuna shamlashamla. Ikifika jioni unajifungia kwako. Ni km 65 toka mjini ,ukifika iguguno ni km 42
Pamechangamka,kama ni mapenzi wa kula kuku wa kienyeji ndio mahala pake!Kama una pafahamu mkalama, pamechanganya?! naweza pata sehemu nzuri ya misosi? . maana ntakaa kama siku 21
Iramba kiomboi umepotea mbali sana, hiyo ni Wilaya nyingine, Kuna Wilaya ya iramba makao makuu yako kiomboi na Kuna Wilaya mkalama makao makuu yako nduguti. Originally mkalama ni Kijiji Kiko mbele ya Gumanga karibu na sehemu ambayo wajerumani walikuwa wananyongea watu. Hivyo ukifika Singida ulizia magari ya kwenda Nduguti Wilaya ya mkalama na siyo kiomboi.Ukitokea Dodoma panda gari linaloelekea Singida,Ukibahatika kufika mapema Singida chukua usafiri wa kuelekea Wilaya ya Iramba_Kiomboi huko utajulishwa jinsi ya kufika Mkalama.Ahsante
Weekend unaenda mjini Singida hapo ni chaguo lako, Wanyaturu wenye miguu myembamba lakini juu wamejazia sana, au wanyiramba ambao wamejazia chini mpaka juu. Lakini uko Nduguti mkalama wengi wake za watu au mademu za watu ni Kijiji kile mgeni utajulikana tu. Labda upate bar made.asante saana mkuu..
Nilikuwa na wasiwasi na kupata lodge.. maana kila niki google sipati taarifa, zaidi zaidi naona sijui Jesca Kishoa kagawa gesi..
ila nmecheka sana eti wanawake wana matusi π ππ..
ps: So nijiandae siku 21 bila nyapu.
Siyo km 106 ni km ( 25 toka mjini mpaka iguguno 42 km toka iguguno mpaka Nduguti - mkalama ) jumla km 67 toka mjini mpaka Nduguti mkalama. Hiyo google map imeenda mbali umevuka mbele zaidi, ukitoka. Nduguti mkalama unaenda Gumanga, Ibaga, chemchemu, sibiti mpakani unaingia Wilaya ya meatu Shinyanga.Singida yenyewe tu imepoa, sasa imagine kilometa 106 kutoka Singida kuingia hapo.
View attachment 3100732
mkuu . upo vizuri..Siyo km 106 ni km ( 25 toka mjini mpaka iguguno 42 km toka iguguno mpaka Nduguti - mkalama ) jumla km 67 toka mjini mpaka Nduguti mkalama. Hiyo google map imeenda mbali umevuka mbele zaidi, ukitoka. Nduguti mkalama unaenda Gumanga, Ibaga, chemchemu, sibiti mpakani unaingia Wilaya ya meatu Shinyanga.
nmekuelewa.. hapo ni kukaa mbali na nyapu za kule.. kuepuka mishare ya mbavu..Weekend unaenda mjini Singida hapo ni chaguo lako, Wanyaturu wenye miguu myembamba lakini juu wamejazia sana, au wanyiramba ambao wamejazia chini mpaka juu. Lakini uko Nduguti mkalama wengi wake za watu au mademu za watu ni Kijiji kile mgeni utajulikana tu. Labda upate bar made.
Naona lengo lako limetimia. Haya bananmekuelewa.. hapo ni kukaa mbali na nyapu za kule.. kuepuka mishare ya mbavu..
ingawa pia naweza pata muongozo kutoka kwa muhudumu wa lodge.. kwa kawaida huwa wanajua connection ya nyapu za kitaa
hata hivyo nyapu siyo kipaumbele.Naona lengo lako limetimia. Haya bana