jana ilidownload mpaka 100 asilimia kufika hapo ikaganda tu
leo ndio imekaa tu 0 asilimia wala haisogei
naomba msaada maana hata bluestacks emulator imegoma kufunguka nahisi tatizo ni hili na nilitumiwa vitu muhimu sana whatsapp navihitaji sana lakin bluestacks haifunguki tena,yaan hata sielew nifanyeje!