Ndugu kama ni windows xp tumia cd ya windows xp kuna zile ambazo zinaweza kutumika popote zinazoitwa malaya kama unakumbuka uliwahi kuwa na tatizo na usajili wa windows yako zamani kidogo ukariport kama ndio ile ile basi cd zake ni zile malaya unaweza kutumia yoyote tu lakini hakikika product key yake ni original yako , au upate cd ambayo ni genuine nyingi utaziona zinangaa hivi ,cd ya windows vista inaweza kutumika kwenye laptop hiyo hiyo tu kama ulinunua na laptop hiyo ila wakati mwingine inategemea na aina ya licence iliyokuwa nayo kuna zingine ni kwa ajili ya kuinstall inakupa siku 30 za kutumia ili uweze kusajili kutumia product key ambazo ziko chini ya laptop husika au dekstop husika kama uko dar nafikiri naweza kuku offer genuine cd ya window xp service park 2 , na windows vista naweza kukusaidia kuinstall kama tu una product key yake chini ya laptop cd zangu ni kwa ajili ya kuintall ila lazima uwe na licence zako mwenyewe