Naomba msaada wanajamvi. Nina laptop yangu inatumia Windows 7. Inanipa warning kuwa Windows Security Centre will not start. Nimejaribu ku configure na kujaribu i start tena automatically lakini inakataa. je kuna mtu mwenye ufumbuzi wa tatizo hili? Natanguliza shukrani.