Msaada with SAP

Msaada with SAP

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
58
Waheshimiwa kuna mtu yeyote jamvini hapa yuko kwenye ma-SAP,ningependa kupata mwongozo wa kuingia upande huo...bado naendelea kufanya utafiti na ingekuwa jambo la busara sana kupata mwongozo wakati huu!

Tafadhali ni PM
 
Tafadhali eleza hayo ma -SAP yanahusu nini basi, ili watu waweze kusaidia pale inapowezekana.
 
SAP kubwa ndugu yangu unataka usaidiwe upande gani?
 
Back
Top Bottom