Una knowledge ya kuunda wordpress theme from scratch?Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima. Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia. Nimeangalia baadhi ya free themes kwenye WordPress.org kwa ajili ya kutengeneza business directory lakini nimeshindwa kufanya customization ili kupata ninachotaka. Msaada tafadhali wakuu.
Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima. Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia. Nimeangalia baadhi ya free themes kwenye WordPress.org kwa ajili ya kutengeneza business directory lakini nimeshindwa kufanya customization ili kupata ninachotaka. Msaada tafadhali wakuu.
Hapana mkuuUna knowledge ya kuunda wordpress theme from scratch?
Una knowledge ya kuunda wordpress theme from scratch?
Mkuu nashukuru Sana japo kwa kweli changamoto ni kuifanyia customization hiyo theme mpaka nipate functionalities ninazohitajiNi kweli hio website ni ya wordpress, kujua vitu walivyotumia na plugins husika angalia hapa
WORLD-COMPANIES.COM Technology Profile on BuiltWith
Theme iliotumika inaitwa directory plus ver 1.7 unaweza ukaangalia demo ya theme hapa kulinganisha
DirectoryPRO
Na website ya mtengenezaji hapa
Premium Wordpress Themes | Multilingual and Completely Translated to over 28 Languages
Nimeangalia kwenye website yao kuna version ya bure na ya kulipia, angalia ya bure labda inaweza kidhi mahitaji yako.
Tatizo ni unctionalitymkuu na Mimi siyo programmerTatizo ni theme au ni functionality hiyo ya kusearch makampuni?
Unaweza kuweka functionality yoyote kwenye wordpress website kwa kutengeneza plugin yako mwenyewe
Kama ushafanya web development kwa PHP hii kitu ni rahisi sana, ndio project yangu ya sasahivi.
Unaweza kunisaidiaje? Kuna senti kidogo ya weekend if you don't mind😊Tatizo ni
Tatizo ni unctionalitymkuu na Mimi siyo programmer
Maelezo zaidi umekwama wapi, if possible onyesha ulipofikia.Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima.
Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia.
Nimeangalia baadhi ya free themes kwenye WordPress.org kwa ajili ya kutengeneza business directory lakini nimeshindwa kufanya customization ili kupata ninachotaka.
Msaada tafadhali wakuu.
Njia rahisi ni kudownload/kusoma tutorial aliyotoa developer wa hiyo theme. Wengine wanatoa mpaka content pack ambayo una import kama backup na kufanya site yako iwe kama yao. Na cha muhimu zaidi ni hizo pluginsMkuu nashukuru Sana japo kwa kweli changamoto ni kuifanyia customization hiyo theme mpaka nipate functionalities ninazohitaji
Uliposema wewe ni web developer nikadhani you can program. Hapo ngoma inakuwa ngumu labda tafuta wordpress plugins zenye functionality unayotakaTatizo ni
Tatizo ni unctionalitymkuu na Mimi siyo programmer