Msaada wosia wa marehemu kwa mama wa kambo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kufahamu kama marehemu ambae ni mume ameacha wosia unaomtambua mke wake ambae ni mama yetu wa kambo kama mmiliki wa mali, je mama huyo wa kambo anaweza kuuza mali alizoachiwa na marehemu wakati kuna watoto wa marehemu wadogo na wanaosoma?
 
haya Peter E.Mselem hili linakuhusu
 
Kama karithishwa kama yeye, anaweza kuuza. Ila kama alirithishwa kwa niaba ya watoto na yeye basi hawezi kuuza.

Inashauriwa sana unapotaka kuandika wosia, upate guidance ya wana sheria.
 
Hawa wanawake wa sasa jamani kabla kuwaachia wosia mtafakari kwanza! Tujifunze kutokana na matukio tunayoyaona na kusikia kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…