Msaada ya kutengeneza jina la biashara

Requal

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
1,025
Reaction score
1,917
Habari zenu,

Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi.

Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote.

Jina nilifikiria hili: Isaba General Drinks.

Kabla ya julisajili naombeni mawazo ya kuliboresha ila mwanzo kazima jina Isaba liwepo.

Ahsanteni
 
Jina naona liko vizuri. Unaweza sajili kampuni yako kwa jina hilo, na uka brand 'Isaba' peke yake
 
πš’πšœπšŠπš‹πšŠ πš•πš’πš”πš˜ πš™πš˜πšŠ πš–πš’πš–πš’ πš—πšŠπš”πšžπš™πšŠπšπš’πšŠ πš—πšŠ πš£πšŠπš πšŠπšπš’ πš”πš’πšπš˜πšπš˜
 

Attachments

  • IMG-20220815-WA0002.jpg
    19.3 KB · Views: 17
  • IMG-20220815-WA0003.jpg
    24.1 KB · Views: 17
  • IMG-20220815-WA0001.jpg
    20.8 KB · Views: 17
Kivipi mkuu?
Ni kama ambavyo unaweza zoea, Jambo . Jambo ni Brand, ila jina la kampuni ni Jambo Group nadhani. Au Azam ilivyosehem ya Bakhresa Group of Companies.

Jina utakalosajili biashara yako hali dictate, wewe utaenenda na jina gani kujimarket.

So , Isaba General Drinks inaweza kuwa nyima ya pazia(TRA na BRELA) but ukatembea na Isaba, kama unavyosikia 'Azam' au 'Jambo'.
 
Ahsante
 
WE mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…