Msaada ya wa Kujiunga na Package ya STANDARD WEEK ya intaneti ya Tigo kwa kutumia simu

tototundu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
198
Reaction score
40
Juzi Tigo walinitumia message ya jinsi ya kujiunga na package ya intaneti ya STANDARD WEEk kupitia simu yangu yenye uwezo wa kujiunga na mtandao wao wa 3G kwa shilingi 4500 kwa wiki.
Unatakiwa kutuma SMS yenye neno STANDARD WEEK kwenda namba 1...., hiyo namba ndiyo nimesahau na message nilifuta.
Naomba mwenye kujua hiyo namba anijulishe humu tafadhali.
 
STANDARD WEEK to 15166
 
like can i download a file with atleast 22MB?
duh! hii internet ya simu iko slow kupita maelezo, wala sishauri mtu achukue, bora ila ya standard week ya 15,000 kwa mwezi.
 
kwenye net tigo wanachemsha...nlifkr hta MB 100 ztakua jero!
 
Back
Top Bottom