Msaada: Yai la kuku limepata ufa kabla ya kumalizika kwa siku za kuatamia

moyochuma

Member
Joined
Oct 27, 2022
Posts
27
Reaction score
34
Wakuu naamini humu kuna wafugaji wenzangu jamani. Mimi ndio najifunza kufuga.

Nina kuku wangu analali, ana siku 14, sasa basi leo wakati naangalia mayai kama yatakua na vifaranga ndani, dah kwa bahati mbaya yai moja nikajikuta nimeligonga na simu kwahiyo limeingia ufa.

Swali ni kwamba niliache aendelee kulalia au? Please naomba anaejua anijuze.
 
kwanza unaangaliaje mayai wakat kuku ameshahatamia
ulipaswa kuyaandaa kabla ya kumpa hapo unayapa stress
hlo yai limeshaharbika

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…