Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo

iringa ni kwetu ingawa kwa sasa naishi dsm.

aisee tumeenda shule kwa mateso sana,maana kwingine kuna umande+ukikumbuka waalimu ni wakali wakijua kabisa kama watalemaa hamji shule,kuna kipindi kalamu kazishikiki unawashwa moto mpitishe mikono.

kwa wale wenzangu tena waliokuwa na mifugo(ng'ombe)wakati wa kuchunga ni msala sana hasa jioni wakati wa kurudi,yaani ukikaa sehem ya wazi baridi inakugonga kama sniper[emoji1787][emoji1787][emoji1787],inataka ujifiche kwa ng'ombe,ukuta wa majengo mabovu au kichaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…