Else tafta PC nyingine ambayo haina anti virus au uzidisable anti virus kweny PC yako, ukipata yenye Linux itakuwa poa.Habarini wadau!
Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
View attachment 2325774
yes, itafute google inaitwa 'fast file recovery'.Ukitaka kuupload software ya recovery au?
Fuata ushauri huu kwa harakaTafuta linux os (eg ubuntu) boot live okoa data zako haraka, ikiwa haitasoma nenda kwenye disk utility mount hiyo disk