DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Ukoo wa baba hata kwa jina unaufahamu? Itakurahisishia.mpaka umri huu sijamjua baba yangu wala ndugu wa upande toka alipokufa nikiwa mtoto mpaka nimekua hakuna kabisa ndugu wa upande huo..nimelelewa na bibi na babu kwa upande wa mama yangu toka mama alipofariki..nina hamu yakujua ndugu zangu upande wa baba kwani hakuna anayejua mpaka sasa....nilizaliwa rukwa nikapewa jina la geofrey kitego na kitego ni la babu kutokana na kutokua na mawasiliano na baba..tuliamia msata bagamoyo baada ya mama kufariki..baba ni mtu wa iringa