Msaada

Joined
Jul 28, 2014
Posts
68
Reaction score
22
Hivi hakimu aliyesikiliza kesi na akaitolea maamuzi je baada ya kustaafu anaweza kuwa advocate kutetea upande mwingine ktk kesi hiyo endapo huo upande utafungua shauri la madai katika mahakama hiyo aliyokuwa huyo hakimu?

Wanajamvi msaada wenu tafadhali
 
Haruhusiwi sbb hupaswi kuchukua kesi ambayo una interest nayo.so huyo hakimu hawez kuruhusiwa kuwa advocate kwny hyo kesi
 
Inabdi uwe na ushahidi kuwa aliwahi kuwa kwny kesi hyo upande mwngne alafu unapeleka maombi mahakamani mbele ya judge kuwa huyo mwanasheria ana interest na kesi hyo au aliwah kuwa kwny kesi hyo
 
Inabdi uwe na ushahidi kuwa aliwahi kuwa kwny kesi hyo upande mwngne alafu unapeleka maombi mahakamani mbele ya judge kuwa huyo mwanasheria ana interest na kesi hyo au aliwah kuwa kwny kesi hyo
Judgement copy inaweza kuwa ni kielelezo kumpinga maana ina jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…