PC MODEL IS GX 755,, WHICH OPERATING SYSYTEM U R USING?
Pia Jitrahidi unapo tafuta msaada juu ya tatizo fulan hasa ktk masuala ya PC or laptop.. Elezea aina ya machine na vilivyomo ndani yake
Kama unaona taabu au hufaham wapiu utapata maelezo juu ya machine gani unatumia
Fanya yafuatayo
Baada ya kuwasha machine yako, Bonyeza palipo andikwa START (start button), Chagua RUN, Type this command "dxdiag" ( usiambatanishe funga semi na fungua semi), Then press ENTER. Hapo utaona MAELEZO JUU YA AINA GANI YA COMPUTER UNATUMIA,,
The Itakua rahisi kwa wasomaji kujua namna gani wataweza kukusaidia/
Santa wadau wenzangu,,,