B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Jun 25, 2016 #1 habari wanaharakati.wakuu kwa wale walioko mwanza au wanao ijua mwanza wapi nitapata dojo nzuri la karate?
habari wanaharakati.wakuu kwa wale walioko mwanza au wanao ijua mwanza wapi nitapata dojo nzuri la karate?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jun 25, 2016 #2 Ili ututoe manundu..?
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Jun 25, 2016 #3 Tafuta tuition ujiandae wakat ukisubir matokeo. Hizo karate hazihusian na uzito wa kalamu. Take it
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jun 26, 2016 #4 Safi mkuu,self defence ndo mpango nzima,sio mtu dume zima unakabwa na vibaka wala unga unanyang'anywa kila kitu,eti kisa jamaa wana kisu na panga...
Safi mkuu,self defence ndo mpango nzima,sio mtu dume zima unakabwa na vibaka wala unga unanyang'anywa kila kitu,eti kisa jamaa wana kisu na panga...
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Jun 27, 2016 Thread starter #5 mmteule said: Tafuta tuition ujiandae wakat ukisubir matokeo. Hizo karate hazihusian na uzito wa kalamu. Take it Click to expand... MKUU MI SIO MWANAFUNZI NATAKA KUTUMIA MDA WANGU BAADA YA KAZI KUFANYA HAYO MAZOEZI KULIKO KUKAA BAR KUNYWA BIA AU VIJIWENI KUONGEA UMBEA.
mmteule said: Tafuta tuition ujiandae wakat ukisubir matokeo. Hizo karate hazihusian na uzito wa kalamu. Take it Click to expand... MKUU MI SIO MWANAFUNZI NATAKA KUTUMIA MDA WANGU BAADA YA KAZI KUFANYA HAYO MAZOEZI KULIKO KUKAA BAR KUNYWA BIA AU VIJIWENI KUONGEA UMBEA.