Msaada

Joined
May 12, 2016
Posts
19
Reaction score
2
Naitaji kufahamu juu ya hukumu ya dereva aliyemgonga mtu na kumpotezea maisha?
 
Marehemu alidimama kituoni anasubiri daladala na dereva alikuwa speed sana na mbele kulikuwa na humps na alipomgonga alikimbiza gari yake hospital akaucha mwili wa marehemu chini ukivuja na damu. Alimgonga saa kumi na mbili jioni na hakuweza kumchukua ili amuwahishe hospital mpaka saa tatu za usiku ndio alimtuma mtu aende kumbeba kumpeleka hospital alivuja sana damu na mpaka kufariki!
 
Je na ni sahihi huyo dereva kuhukumiwa huku sisi tunazika bila kujua kesi ilivyoendeshwa?
 
Huyo dereva atashtakiwa kwa kosa la kukuua bila kukusudia ambayo adhabu yake ni kifungo cha maisha jela ingawa inaweza kupungua kutokana na hekima ya jaji,kwa mazingira haya huyo Dereva hatofungwa maisha bali anaweza fungwa maybe 5 to 3 years kwa uelewa wangu wa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…