Juzi nimeenda job interview flani alaf nikaulizwa "So how far did you go with your education?" Nikajibu "I didn't go very far because our school was just behind my house"...wakaniambia niende watanicall. Wakubwa mpaka sasa bado hawajanicall,sa sijui network ndo mbaya ama nini?