Msaada

Msaada

boyfriendy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2012
Posts
1,988
Reaction score
1,033
Habari yenu humu ndani?
Nina mtoto wa kike ana umri wa mwaka mmoja na miezi minne, sasa week iliyopita alikaa siku tatu bila kupata aja kubwa lakini ilifika wakati anasikia kupata aja na aja inakuja mpaka karibu na kutoka lakini haitoki mpaka anasikia maumivu na kulia. Nikampeleka hospitali waka muingizia dawa kwa njia ya aja kubwa akapata aja na kupewa dawa fulani moja inaitwa ACE SYRUP na nyingine CLAVULIN lakini baada ya siku tatu mbele tatizo likarudi palepale nikamrudisha kule kule hospitali wakamuingizia tena dawa vile vile na kumpa dawa nyingine OSMOLAX na JUNIOR CARE lakini leo siku ya tatu naona dalili ya hali kurudia vile vile. Naomba ushauri au kama kuna dawa itayoweza msaidia.
Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom