Msaada

Msaada

Unknown

Senior Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
164
Reaction score
102
Kuna mtu anamimba inayokalibia miezi 9 anatatizo la kutokwa na majimaji kwenye uke ambayo hayana harufu, kwa anayejua sababu na suluhisho la hili tatizo anisaidie
 
mwenzangu
mimi pia sielewi
huwa kuna kipindi yanamwagika japo sio mengi
na hayana harufu mbaya
yanalowesha nguo ya ndani..
yananukia kizazi..
mimi sina ujauzito ila kuna miezi kama siku3 unakuta yanatoka ..
ukikaa mida fulani yanamwagika...
sijui tatizo nini???
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kwa huyo mjamzito ni kawaida wanasema njia inakua inafunguka.Labda kama yana harufu mbaya.
 
Kuna mtu anamimba inayokalibia miezi 9 anatatizo la kutokwa na majimaji kwenye uke ambayo hayana harufu, kwa anayejua sababu na suluhisho la hili tatizo anisaidie
Suluhisho ninkwenda hospitali....

Hujui maji kutoka kabla ya muda ni hatari????
 
Back
Top Bottom