[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]mwenzangu
mimi pia sielewi
huwa kuna kipindi yanamwagika japo sio mengi
na hayana harufu mbaya
yanalowesha nguo ya ndani..
yananukia kizazi..
mimi sina ujauzito ila kuna miezi kama siku3 unakuta yanatoka ..
ukikaa mida fulani yanamwagika...
sijui tatizo nini???
toa msaada[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Suluhisho ninkwenda hospitali....Kuna mtu anamimba inayokalibia miezi 9 anatatizo la kutokwa na majimaji kwenye uke ambayo hayana harufu, kwa anayejua sababu na suluhisho la hili tatizo anisaidie