Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Hv jaman taarifa ya hsbari ya itv ile ya saa mbili huwa inaanzaga saa ngapi??[emoji15][emoji15]
Inaanzaga saa nane asubuhi na kuisha saa moja alasiri.
MmekutanaInaanzaga saa Saba jion spendag ujinga mm
Wamenikopi broMmekutana
Gabbage in Gabbage out! The seesaw rule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamenikopi bro
Duh! hatari sanaHv jaman taarifa ya hsbari ya itv ile ya saa mbili huwa inaanzaga saa ngapi??[emoji15][emoji15]
Umeshasema saa mbili kwahiyo wataka nini tena!Hv jaman taarifa ya hsbari ya itv ile ya saa mbili huwa inaanzaga saa ngapi??[emoji15][emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] msome vizuri hajasema ni saa mbili ipiUmeshasema saa mbili kwahiyo wataka nini tena!
Nilikuonanisamehe ndugu yangu...nilitukana tusi kubwa sana niliposoma post yako.....ila naamini hakuna aliyekamilika.