Msaada

dee

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
25
Reaction score
0
Habari za jioni simu yangu ni N79 origin nashindwa inashindwa kusoma pdf nyingi yaani haziplay naomba msaada wenu wataalamu.Ikiwezekana nitumiwe kwenye email yangu ( dseverin47@gmail.com) naomba kuwasilisha
 
Je, hiyo simu inayo programu ya kusoma mafaili ya PDF?

Kama haina fanya kuingia ovi halafu search for pdf reader that suits your phone specs. Kama ovi haiwezekani basi tembelea getjar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…