Msaada

Msaada

n2bra

Senior Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
100
Reaction score
14
Case study, case ya mexence mello

Pale inapotokea polisi/serikali wanapokukamata kwa lengo la kukuhoji kuhusu case fulani bila idhini yako baada ya muda let say 3 days wanakuachia baada ya kumaliza upelelezi.
Swali:
Je kuna kifungu chochote kinachoelezea kuhusu fidia kwa mhusika wa hilo tukio.
i.e compensation kwa kupotezewa muda wake.
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom