itakuwa joto kali halafu makofia kofia unayomvalisha labda hayana hewa manyloniDogo arobaini tayari. Kumbemenda naanzaje sasa. Sina hata hisia za kufanya mchezo wa wakubwa nalea kwanza.
Embu nisaidie kwanza maana mwanangu anavyohangaika mpaka ananinyima usingizi.
[emoji12] Atleast unafaa kuasili mtoto.. big upitakuwa joto kali halafu makofia kofia unayomvalisha labda hayana hewa manyloni
utosi huoHello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa sauti.
Toka nimejifungua sijawahi kumkata nywele na huwa akilia anashika kichwa anavuta nywele. Je inaweza kuwa sababu ni nywele zinamuwasha? Nimepanic sana sababu analala.kidogo anaamka anajikuna kichwa tu.
Hahahahaaa eti samsoni wakoHahahahahaaa.. Nilikua na maono ya kumtengeneza Samson wangu ila nimegundua mazingira ya Africa hayasupport kina Samson.
Yes mnyoe nywele....hizo za uzazi si nzuriHello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa sauti.
Toka nimejifungua sijawahi kumkata nywele na huwa akilia anashika kichwa anavuta nywele. Je inaweza kuwa sababu ni nywele zinamuwasha? Nimepanic sana sababu analala.kidogo anaamka anajikuna kichwa tu.
Ulipo jifungua alichelewa kulia?Hello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa sauti.
Toka nimejifungua sijawahi kumkata nywele na huwa akilia anashika kichwa anavuta nywele. Je inaweza kuwa sababu ni nywele zinamuwasha? Nimepanic sana sababu analala.kidogo anaamka anajikuna kichwa tu.
Kama hana mafua anashida ya sikio,muone daktari hasa wa ENT.Hello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa sauti.
Toka nimejifungua sijawahi kumkata nywele na huwa akilia anashika kichwa anavuta nywele. Je inaweza kuwa sababu ni nywele zinamuwasha? Nimepanic sana sababu analala.kidogo anaamka anajikuna kichwa tu.
Yes mnyoe nywele....hizo za uzazi si nzuri