Common rail injector nozzle, aina hii ya nozzle haziwezi kabisa kuhimili mafuta yaliochakachuliwa hata kdg" ili kwenda nazo sawa hakikisha hutembei na mafuta kidogo kwenye tank {mafuta yanapokuwa kdg kwenye tank nafasi kubwa ya tank hubakia wazi, hewa inayokuwepo hufanya unyevunyevu na hivo kuzalisha maji ambayo huharibu aina hii ya nozzle kirahisi kbs"} jijengee tabia ya kuyatibu mafuta kabla ya kuyatumia hilo tatizo utalisahau, ukizingatia nozzle za aina hii ni ghali sana"